Saturday, January 23, 2010

Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani


1. Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako.
2. Scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi wa jani la chai.
3. fanya toning na maji vuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weak kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kasoro penye tatizo.
4. Tumia ute mweupe ambao utakuwa umemwagia katika taulo lako na kujisugua taratibu.
5. Jisafishe na maji ya vuguvugu
6. Fanya toning tena kama ilivyokuwa katika hatua ya tatu juu
7. Ili kuondoa ukavu wa ngozi, kata matango na yabandike katika ngozi.

5 comments:

  1. nini mlozi na toning

    ReplyDelete
  2. hi. nafurahishwa sana na ushauriwenu .
    isopokuwa,ushauri unaoutoa ni lazima uendane na hali halisi ya mwafrika ili ushauri uende vizuri na si kuweka picha za sio za mwafrika ukitegemea mwafrika ngozi yake ni nyeusi au kahawia. baadhi ni weupe ila si kama wa wenzeu tambua hilo. modos wapo wapige picha weka na eleza utunzaji ktk ngozi ya mwafrika.

    ReplyDelete
  3. Tuwekee ufafanuzi wa maneno magumu ulioyatumia ili tufaham zaidi

    ReplyDelete
  4. jamani mlozi na toning ndio nini tena?tuna shida na nyuso zetu jamani tumia kiswahili cha mtaani (uswazi) kila mtu ataelewa

    ReplyDelete
  5. hata mm wananichanganya na maneno magumu si wengine hatujakulia pwani

    ReplyDelete