1.
Apple
moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.
2.
Jani
la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3.
Limao kwa
siku -hukuweka mbali na unene
4.
Kikombe
cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa
5.
Lita tatu
za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
Apple |
Mrihani(tulsi leaf) |
Limao |
Glasi ya maziwa |
No comments:
Post a Comment