Saturday, January 23, 2010

namna ya kujaza nywele kwa njia za asili


Kunamtu amenitumia swali juu ya nini afanye ili Nywele zake ndefu ambazo ni chache, zijae.
Nataka kumwambia kwamba hilo linawezekana kwa kufanya yafuatayo.
Chukua parachichi kubwa moja, asali vijiko vitatu na kiini cha yai.
Osha nywele zako kwa shampoo na uzikaushe.
Ponda ponda parachichi mpaka lilainike kabisa. Chukua vijiko vitatu vya asali na kiini cha yai kisha changanya yote kwa pamoja.
Paka mchanganyiko huo kaa nao kwa muda wa dakika 15 kisha osha.
Fanya hivyo kwa muda wa wiki moja hadi mbili na utaweza kuona matokeo mazuri katika nywele yako.

6 comments:

  1. nimejitahidi ila wapi nywele zangu zinanyonyoka natoka uwalaza.. nifanyeje??

    ReplyDelete
  2. hii nanma c nzur maana hata mie nme2mia lakn hakuna manufaaa yyote

    ReplyDelete
  3. si hafiki hili coz hata ni dhambi kutumia chakula kuweka kwa nywele wakati kuna watu wanakitafuta japo wawape watoto wao na wana kikosa

    ReplyDelete
  4. co njia nzuri,kama huna nywele huna 2 kaa utulie

    ReplyDelete
  5. nunua fuller oil ni mafuta mazuri na yanakuza nywele haraka sana, ni mazuri kwa kweli na yamewasaidia watu wengi sana. wapigie 0717 124343

    ReplyDelete